Ticker

6/recent/ticker-posts

Kilimo cha alizeti Ngara

Alizeti ni zao muhimu la mafuta ambalo hutumiwa kama chakula  cha binadamu. Zao hili hulimwa katika Mikoa mingi hapa nchini.Hutumika kwa kutoa mafuta ya chakula, mashudu kwa ajili chakula cha mifugo na hutumika viwandani kutengeneza bidhaa nyingine nyingi.






Hivyo basi Kampuni ya Karagwe Changamoto Company Ltd imejitoa kuwasaidia wakulima wa alizeti nchini Tanzania kuyafikia malengo yao !

Post a Comment

0 Comments